

Akakutana na Dee na Wah wa Ruff Ryders (halafu kuongoza kampuni), na kuanza kazi kuzura kimapambano ya michano nje ya studio ya Ruff Ryders ambapo baadhi ya wasanii kama vile DMX wamefanya vibao vyao kwa mara ya kwanza. Yeye na baadhi ya marafiki zake walipewa fursa ya kushiriki kwenye shindano la "Jack the Rapper Competition" huko mjini Florida, ambapo Jadakiss aligunduliwa kipaji chake cha kupambana kirap. Maisha binafsi Īkiwa na umri wa 16, Jadakiss alikuwa rapa wa michano huru. Jadakiss ni mmoja kati ya wamiliki wa chapa ijulikanayo kama D-Block. Huyu ni mwanachama wa kundi zima la The LOX.

), anafahamika zaidi kwa jina lake la kisanii kama Jadakiss, ni rapa kutoka nchini Marekani. The LOX, Styles P, Sheek Louch, DMX, Swizz Beatz, Raekwon, Jay-Z, Fat Joe, Rick Ross, Pharrell
